Gavana wa kaunti ya vihiga dkt. wilber otichilo azuru hospitali ya rufaa ya vihiga kutathmini hali ya utendaji
Gavana wa Kaunti ya Vihiga, Dkt. Wilber Otichilo, leo ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Vihiga iliyoko Mbale ili kukagua na kutathmini hali ya utoaji huduma…












